Simba vs Dodoma Jiji kupigwa Machi 14, 2025

Filed in Michezo by on March 4, 2025 0 Comments
     
Simba vs Dodoma Jiji kupigwa Machi 14, 2025

Simba vs Dodoma Jiji kupigwa Machi 14, 2025

Simba vs Dodoma Jiji kupigwa Machi 14, 2025

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB), imeupangia tarehe mchezo namba 148 wa Ligi Kuu ya NBC kati ya klabu ya Simba ya Dar es Salaam na Dodoma Jiji ya mkoani Dodoma, uliokuwa umeondolewa kwenye ratiba ya Ligi baada ya klabu ya Dodoma Jiji kupata ajali ya gari walipokuwa wakisafiria kutoka mkoani Lindi.

Mchezo tajwa hapo juu sasa utafanyika Machi 14, 2025 kuanzia saa 10:00 alasiri kwenye uwanja wa KMC Complex uliopo mkoani Dar es Salaam.

Wadau wote wa mchezo huo, zikiwemo klabu shiriki, wamepewa taarifa hii kwa ajili ya kuendelea na taratibu za maandalizi.

Bodi inawatakia wadau wote maandalizi mema ya mchezo huo pamoja na mingine inayofuata.

Simba vs Dodoma Jiji kupigwa Machi 14, 2025

Simba vs Dodoma Jiji kupigwa Machi 14, 2025

Je, Unatafuta Nafasi za kazi?
Jiunge na Watanzania wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini pamoja na Makampuni Mbalimbali.
Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku ni bure kabisa, JIUNGE HAPA

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.

Tags: ,

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *