SIMBA vs Stellenbosch Kupigwa Zanzibar

SIMBA vs Stellenbosch Kupigwa Zanzibar
SIMBA vs Stellenbosch Kupigwa Zanzibar
Klabu ya Simba imeamua kuweka kambi ya siku tano visiwani Zanzibar kwaajili ya kujiandaa na mechi ya Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Stellenbosch.
Simba imefikiwa hatua hiyo kufuatia uamuzi wa kutumia Uwanja wa New Amaan Complex kwa mechi hiyo badala ya Uwanja wa Benjamin Mkapa ambao umefungiwa Kwa muda na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF).
Baada ya kufahamu kuwa Uwanja wa Benjamin Mkapa hautotumika kwa mechi hiyo, Simba imeamua kusafiri hadi Zanzibar ili kuzoea eneo la kuchezea la Uwanja wa New Amaan Complex.
Mchezo huo wa Kwanza wa Nusu Fainali ya CAF Confederation Cup 2024/2025 utachezwa tarehe 20 April 2025 Kuanzia Saa 10:00 Jioni.
Je, Unatafuta Nafasi za kazi?Jiunge na Watanzania wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini pamoja na Makampuni Mbalimbali.
Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku ni bure kabisa, JIUNGE HAPA
JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.
