SIMBA vs Stellenbosch Nusu Fainali CAF Confederation Cup 2024/2025

SIMBA vs Stellenbosch Nusu Fainali CAF Confederation Cup 2024/2025
SIMBA vs Stellenbosch Nusu Fainali CAF Confederation Cup 2024/2025
Simba vs Stellenbosch FC ya South Africa ni mchezo unaofuata wa Simba kwenye CAF Confederation Cup 2024/2025.
Mchezo huo wa Nusu Fainali utachezwa nyumbani na ugenini ambapo Simba ataanzia nyumbani na kumalizia ugenini.
Ratiba ya Simba Nusu Fainali ya CAF Confederation Cup 20242/2025.
Nusu Fainali ya kwanza itachezwa tarehe 20 April 2025 kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Jijini Dar Es Salaam, huku mechi ya marejeano ikichezwa tarehe 27 April 2025 nchini Afrika Kusini.

SIMBA vs Stellenbosch Nusu Fainali CAF Confederation Cup 2024/2025
Jiunge na Watanzania wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini pamoja na Makampuni Mbalimbali.
Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku ni bure kabisa, JIUNGE HAPA
JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.

Tags: SIMBA vs Stellenbosch Nusu Fainali CAF Confederation Cup 2024/2025