SIMBA Yajibu Kuhusu Uwanja utakaotumika vs RS Berkane

Filed in Michezo by on May 15, 2025 0 Comments
SIMBA Yajibu Kuhusu Uwanja utakaotumika vs RS Berkane

SIMBA Yajibu Kuhusu Uwanja utakaotumika vs RS Berkane

SIMBA Yajibu Kuhusu Uwanja utakaotumika vs RS Berkane

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Baada ya taarifa nyingi kwenye mitandao ya kijamii kuhusu CAF kupitia barua yao ya kuwaambia TFF na Simba SC kuwa mchezo wa Fainali ya Pili ya Kombe la Shirikisho 2024/2025 kati ya Simba dhidi ya Berkane upigwe New Amaan Complex visiwani Zanzibar.

Klabu ya Simba SC, imetoa Taarifa rasmi kuhusu uwanja wa mchezo huo wa marudiano wa Fainali kuwa taarifa ya uwanja utakaotumika itatolewa baada ya mchezo wa awali utakaochezwa Jumamosi tarehe 17, 2025.

Aidha, kwa taarifa kuhusu timu ya Berkane, inaelezwa tayari wameshapata sehemu ya kufikia Zanzibar kabla ya taarifa ya CAF.

Je, Unatafuta Nafasi za kazi?
Jiunge na Watanzania wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini pamoja na Makampuni Mbalimbali.
Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku ni bure kabisa, JIUNGE HAPA

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, GROUP NO 2 HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.


Hello Casino

Tags:

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *