Simba Yatinga Fainali ya CAF Confederation Cup 2024/2025

Simba Yatinga Fainali ya CAF Confederation Cup 2024/2025
Simba Yatinga Fainali ya CAF Confederation Cup 2024/2025
Klabu ya Simba imefanikiwa Kutinga Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika baada ya sare ya bila kufungana dhidi ya Stellenbosch katika mchezo wa marudiano wa Nusu Fainali iliyofanyika Uwanja wa Moses Mabhida Jijini Durban, Afrika Kusini.
Simba wanafuzu Fainali hiyo baada ya kunufaika na ushindi wa 1-0 kwenye mchezo wa kwanza wa Jumapili iliyopita uliofanyika kwenye Uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar, bao pekee la kiungo wa Muivory Coast, Jean Charles Ahoua dakika ya 45’+2.
Simba sasa inasubiri mshindi wa jumla kati ya RSB Berkane ya Morocco na CS Constantine ya Algeria.
TAZAMA AJIRA ZOTE TANZANIA
Je, Unatafuta Nafasi za kazi?Jiunge na Watanzania wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini pamoja na Makampuni Mbalimbali.
Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku ni bure kabisa, JIUNGE HAPA
JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.

Tags: Simba Yatinga Fainali ya CAF Confederation Cup 2024/2025