SIMBA Yatoa Ufafanuzi wa Uwanja utakaotumika vs RS Berkane

SIMBA Yatoa Ufafanuzi wa Uwanja utakaotumika vs RS Berkane
SIMBA Yatoa Ufafanuzi wa Uwanja utakaotumika vs RS Berkane
Uongozi wa Klabu ya Simba umetoa taarifa kuwa licha ya jitihada zote zilizofanywa na Serikali, TFF na Klabu hiyo katika kuhakikisha mchezo wa Fainali ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika dhidi ya RS Berkane wa tarehe 25 Mei 2025 unafanyika katika Uwanja wa Benjamin Mkapa zimeshindikana.
Kutokana na hatua hiyo mchezo huo utafanyika katika Uwanja wa
Amaan Zanzibar kama ilivyoamriwa na Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF).
Simba inawaomba mashabiki na wapenzi wa Klabu hiyo kuwa watulivu katika kipindi hiki.
Aidha, Simba imesema kuwa itatoka taarifa rasmi za mchezo huo na hatma ya mashabiki wake kuelekea katika mchezo huu muhimu kupitia Mkutano Maalumu na wanahabari kesho tarehe 20 Mei, 2025 saa 05:00 asubuhi katika Ofisi za klabu ya Simba, Oysterbay jijini Dar es Salaam.

Simba yathibitisha kutumia Uwanja wa New Amaan Complex Zanzibar 25 May 2025 vs RS Berkane
TAZAMA AJIRA ZOTE TANZANIA
Je, Unatafuta Nafasi za kazi?Jiunge na Watanzania wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini pamoja na Makampuni Mbalimbali.
Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku ni bure kabisa, JIUNGE HAPA
JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.

Tags: SIMBA Yatoa Ufafanuzi wa Uwanja utakaotumika vs RS Berkane