STEPHEN Aziz Ki Kutua Wydad Casablanca

Filed in Michezo by on May 19, 2025 0 Comments
     
STEPHEN Aziz Ki Kutua Wydad Casablanca

STEPHEN Aziz Ki Kutua Wydad Casablanca

STEPHEN Aziz Ki Kutua Wydad Casablanca

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Mchezo wa Nusu Fainali ya Kwanza ya CRDB Federation Cup 2024/2025 kati ya Yanga dhidi ya JKT Tanzania umetajwa kuwa wa mwisho kwa Kiungo Mshambuliaji Stephen Aziz Ki.

Imetajwa kuwa mchezaji huo atajiunga na timu yake mpya ya Wydad Casablanca ya Morocco ambayo tayari imekamilisha Usajili wake.

Klabu ya Yanga SC imetajwa kumuuza Aziz Ki Kwa dau la Bilioni 2.5, ambapo atakuwa analipwa Mshara wa Milion 80 kwa mwezi.

Wydad Athletic Club wamelazimika Kukamilisha Usajili wa Aziz Ki ili waweze kumtumia kwenye michuano ya Vilabu Duniani inayotarajiwa Kuanza June 15,2025.

Wydad Casablanca wao wanaanza mazoezi May 19 huku mechi yao ya kwanza watacheza dhidi ya Manchester City June 18, 2025

TAZAMA AJIRA ZOTE TANZANIA

Je, Unatafuta Nafasi za kazi?
Jiunge na Watanzania wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini pamoja na Makampuni Mbalimbali.
Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku ni bure kabisa, JIUNGE HAPA

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, GROUP NO 2 HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.


Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *