TAALUMA Zinazohitajika Kujiunga na JWTZ 2025

Filed in Ajira by on April 30, 2025 3 Comments
     
TAALUMA Zinazohitajika Kujiunga na JWTZ 2025

TAALUMA Zinazohitajika Kujiunga na JWTZ 2025

TAALUMA Zinazohitajika Kujiunga na JWTZ 2025

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) linatangaza nafasi za kuandikishwa Jeshini kwa Vijana wa Kitanzania wenye Elimu kuanzia Elimu ya Sekondari hadi Elimu ya Juu.

Aidha, Uandikishaji huu utahusisha Vijana wa Kitanzania wenye Taaluma Adimu.

Wataalamu hao watakaoandikishwa Jeshini watapatiwa mafunzo mbalimbali Muhimu ya Kijeshi na Mafunzo ya kuwaendeleza katika taaluma zao.

Taaluma Adimu zinazohitajika Katika Uandikishaji huu ni ifuatavyo:-

Taaluma ya Tiba
(1) Medical Doctor (Specialist)
& Generall Surgeon, Orthopaedic Surgeon, Urologist Radiologist, ENT Specialist, Anaesthesiologist, Physician, Ophthalmologist, Paediatrician, Obstetrician Gynaecologist, Ocologist, Pathologist, Psychiatrist, Emergency Medicine Specialist na Haematologist.

(2) Medical Doctor, Dental Doctor, Veterinary Medicine, Bio Medical Engineer, Dental Laboratory Technician, Anaesthetic, Radiographer, Optometry, Physiotherapy na Aviation Doctor.

Taaluma za Uhandisi (Engineer).
Bachelor of Electronic Engineering, Bachelor of Mechanical Engineering, Bachelor in Marine Engineering, Bachelor in Merine transportation and Nautical Science, Bachelor in Mechanics in Merine Diesel Engine, Bachelor in Aviation Management, Bachelor in Aircraft Accident and Incident Investigation, Bachelor in Meteorology, Air Traffic Management na Aeronautic Engineering.

Fundi Mchundo.
Aluminium Welding na Welding and Metal Fabrication.

TANGAZO LA KUJIUNGA NA JWTZ

TAZAMA AJIRA ZOTE TANZANIA

Je, Unatafuta Nafasi za kazi?
Jiunge na Watanzania wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini pamoja na Makampuni Mbalimbali.
Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku ni bure kabisa, JIUNGE HAPA

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.

Tags:

About the Author ()

Comments (3)

Trackback URL | Comments RSS Feed

  1. rashid says:

    msaada namn ya ktma maombi

  2. mimi ni fundi bomba hapo kuwaje

  3. Issa Abdalah Issa says:

    Mimi nimemalza kdato Cha sita (cbg) division IV, Nina certificate y ualimu wa grade III A. 0687976918

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

error: Content is protected !!