TAARIFA Mpya Kwa Wasailiwa Ajira Portal May 2025

TAARIFA Mpya Kwa Wasailiwa Ajira Portal May 2025
TAARIFA Mpya Kwa Wasailiwa Ajira Portal May 2025
HUISHA TAARIFA ZA MAHALI ULIPO KWENYE AKAUNTI YAKO YA AJIRA PORTAL ILI KUPANGIWA KITUO CHA USAILI KARIBU YAKO.
Wasailiwa wote mlioitwa kwenye usaili utakaofanyika kuanzia tarehe 24 hadi 30
Mei 2025, mnatakiwa kuhuisha (update) taarifa katika akaunti zenu za ajira
portal, kwa kuainisha mahali ulipo kwa sasa ili upangiwe kituo cha usaili karibu
na eneo ulipo.
Ili kuhuisha taarifa zako – nenda kwenye eneo la PERSONAL DETAILS, kisha
rekebisha eneo la CURRENT RESIDENT REGION kwa kuandika Mkoa na
Wilaya uliyopo kwa sasa.
Na kwa wale ambao hawajaitwa kwenye usaili kwa sababu mbalimbali, endapo
watataka kukata rufaa – wanaweza kuwasiliana na kituo cha Huduma kwa
wateja namba 0262160350 au kwa barua pepe malalamiko@ajira.go.tz /
ict@ajira.go.tz mwisho wa zoezi hili ni Mei 15, 2025.
Tembelea Tovuti ya www.ajira.go.tz kwa maelezo zaidi.
TAZAMA AJIRA ZOTE TANZANIA
Je, Unatafuta Nafasi za kazi?Jiunge na Watanzania wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini pamoja na Makampuni Mbalimbali.
Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku ni bure kabisa, JIUNGE HAPA
JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.
