TAARIFA Mpya Kwa Wasailiwa Kada ya Ualimu wa Masomo ya Amali na Biashara

TAARIFA Mpya Kwa Wasailiwa Kada ya Ualimu wa Masomo ya Amali na Biashara
TAARIFA Mpya Kwa Wasailiwa Kada ya Ualimu wa Masomo ya Amali na Biashara
Wasailiwa wa Kada ya Ualimu wa Masomo ya Amali na Biashara
Mnatakiwa Kwenda Kwenye Kituo Cha Kufanyia Usaili Kama inavyoonekana Katika Akaunti yako ya Ajira Portal.
Wasailiwa wote mlioitwa kwenye usaili wa Ualimu masomo ya Amali na Biashara, unatakiwa kuingia kwenye akaunti yako ya AJIRA PORTAL katika eneo la PERSONAL DETAILS na kisha angalia eneo la CURRENT RESIDENT REGION – Mkoa unaoonekana hapo ndio Mkoa utakaofanyia usaili, Aidha, usaili utafanyika tarehe 15 Aprili, 2025 na utafanyika kikanda.
Vituo vitakuwa Dodoma – Ofisi ya Sekretarieti ya Ajira, Mwanza – Shule ya Sekondari Mwanza, Dar es Salaam – Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji – Halmashauri ya Manispaa ya Kigamboni, Mbeya-MUST, Arusha – IAA, na Zanzibar – Jengo la Ofisi ya Rais, Katiba,Sheria na Utawala Bora (Mazizini).
Hakikisha unakwenda kwenye kituo kilichopangiwa mkoa wako kama inavyoonekana katika akaunti yako ya Ajira Portal, ukienda katika kituo tofauti HAUTAWEZA KUFANYA USAILI.
Aidha, kwa taarifa zaidi tembelea katika tovuti ya Sekretarieti ya Ajira – www.ajira.go.tz
Je, Unatafuta Nafasi za kazi?Jiunge na Watanzania wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini pamoja na Makampuni Mbalimbali.
Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku ni bure kabisa, JIUNGE HAPA
JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.

Tags: TAARIFA Mpya Kwa Wasailiwa Kada ya Ualimu wa Masomo ya Amali na Biashara