TAARIFA Muhimu Kwa Wasailiwa wa tarehe 23, 24 na 24 April 2025

TAARIFA Muhimu Kwa Wasailiwa wa tarehe 23, 24 na 24 April 2025
TAARIFA Muhimu Kwa Wasailiwa wa tarehe 23, 24 na 24 April 2025
Waombaji Kazi Mlioitwa Kwenye Usaili Kwa tarehe 23, 24 na 25 Aprili 2025 Mnatakiwa Kuzingatia Kanda Za Kufanyia Usaili Kama zilivyooneshwa kwenye tangazo la Vituo Vya Usaili.
- VITUO Vya Usaili Wa Kuandika Kwa Kanda tarehe 23 Aprili 2025
- VITUO Vya Usaili wa Kuandika KWA Kanda tarehe 24 Aprili 2025
- VITUO Vya Usaili wa Kuandika Kwa Kanda tarehe 25 Aprili 2025
- MPANGILIO Wa Vituo Vya Usaili Kada ya RMA-DSM 25/05/2025
Wasailiwa wote mlioitwa kwenye usaili wa tarehe 23 hadi 25 Aprili 2025, mnatakiwa kuingia kwenye akaunti zenu za AJIRA PORTAL katika eneo la PERSONAL DETAILS na kisha angalia eneo la CURRENT RESIDENT REGION – Mkoa unaoonekana hapo ndio utaamua ni kanda ipi utafanyia usaili.
Mfano; Kama upo Mkoa wa Dar es Salaam, Morogoro, Pwani, Lindi na Mtwara usaili wako utafanyia Mkoa wa Dar es Salaam.
Na kama upo Mkoa wa Mbeya,
Songwe, Rukwa, Katavi, Ruvuma na Njombe usaili wako utafanyia Mkoa wa
Mbeya.
Hakikisha unakwenda kwenye Kanda yenye Mkoa wako, Mpangilio wa
mgawanyo wa kanda, vituo vya usaili kwa kada na mikoa yake upo kwenye
tovuti ya www.ajira.go.tz.
Kwenda katika kituo (Mkoa) tofauti na kanda yako HAUTAWEZA KUFANYA USAILI.
Je, Unatafuta Nafasi za kazi?Jiunge na Watanzania wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini pamoja na Makampuni Mbalimbali.
Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku ni bure kabisa, JIUNGE HAPA
JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.

Tags: 24 na 24 April 2025, TAARIFA Muhimu Kwa Wasailiwa wa tarehe 23