
NAFASI Za Kazi Yas Tanzania Limited
NAFASI Za Kazi Yas Tanzania Limited Yas, zamani Tigo ni kampuni ya mawasiliano nchini Tanzania, ambayo ni chapa kubwa zaidi ya kibiashara ya Axian Telecom, kampuni ya pan-Afriacan inayofanya biashara katika nchi 5 zenye shughuli za kibiashara nchini Madagaska, Comoro, Senegal, Togo na Tanzania. Kampuni ilianza kufanya kazi mwaka 1994 kwa jina la Mobitel na […]