Tag: MAGAZETI ya Leo Jumatatu 28 April 2025

MAGAZETI ya Leo Jumatatu 28 April 2025

Filed in Magazeti, Michezo by on April 28, 2025 0 Comments
MAGAZETI ya Leo Jumatatu 28 April 2025

MAGAZETI ya Leo Jumatatu 28 April 2025 Sare ya bila kufungana dhidi ya Stellenbosch ugenini kwenye Uwanja wa Moses Mabhida, Durban Afrika Kusini leo Aprili 27, 2025 imeivusha Simba kwenda hatua ya fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika ikibebwa na ushindi wa bao 1-0 ilioupata katika mechi ya kwanza nyumbani Jumapili iliyopita. Stellenbosch ambao katika […]

Continue Reading »