Tag: MAGAZETI ya Tanzania Leo Jumanne 04 January 2025

MAGAZETI ya Tanzania Leo Jumanne 04 January 2025

Filed in Magazeti by on February 3, 2025 0 Comments
MAGAZETI ya Tanzania Leo Jumanne 04 January 2025

MAGAZETI ya Tanzania Leo Jumanne 04 January 2025 Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), Felix Tshisekedi, na Rais wa Rwanda, Paul Kagame, wanatarajiwa kukutana Jumamosi ya tarehe 8 February 2025, jijini Dar es Salaam kwaajili ya kujadili mgogoro unaoendelea DRC. Akitoa taarifa hiyo Jumatatu ya February 3, 2025, Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika […]

Continue Reading »