Tag: Mezani Leo Magazeti ya Jumatatu tarehe 17-03-2025.

MAGAZETI ya Leo Jumatatu 17 Machi 2025

Filed in Magazeti, Michezo by on March 17, 2025 0 Comments
MAGAZETI ya Leo Jumatatu 17 Machi 2025

MAGAZETI ya Leo Jumatatu 17 Machi 2025 Baada ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) kutangaza kuufungia Uwanja wa Benjamin Mkapa, Serikali ya Tanzania imeeleza kuwa ukaguzi wa CAF ulifanyika takribani wiki mbili zilizopita, mara baada ya mchezo kati ya Simba na Azam Februari 24, 2025. Wakati wa ukaguzi huo, uwanja ulikuwa umekatwa nyasi […]

Continue Reading »