Tag: NAFASI Za Kazi Platinum Credit LTD

NAFASI Za Kazi Platinum Credit LTD

Filed in Ajira by on June 18, 2025 2 Comments
NAFASI Za Kazi Platinum Credit LTD

NAFASI Za Kazi Platinum Credit LTD Platinum Credit Limited ni kampuni ya mikopo ya Micro-Finance pekee iliyopewa leseni nchini Tanzania chini ya Sheria ya Kampuni, na ilianzishwa mwaka 2005 ikiwa na maono ya kutoa mikopo ya dharura kwa Watumishi wa Umma ndani ya masaa 24. Platinum Credit Limited inatafuta Watu wenye nia, ari, pamoja na […]

Continue Reading »