Tag: SIMBA Yatoa Ufafanuzi wa Uwanja utakaotumika vs RS Berkane

SIMBA Yatoa Ufafanuzi wa Uwanja utakaotumika vs RS Berkane

Filed in Michezo by on May 19, 2025 0 Comments
SIMBA Yatoa Ufafanuzi wa Uwanja utakaotumika vs RS Berkane

SIMBA Yatoa Ufafanuzi wa Uwanja utakaotumika vs RS Berkane Uongozi wa Klabu ya Simba umetoa taarifa kuwa licha ya jitihada zote zilizofanywa na Serikali, TFF na Klabu hiyo katika kuhakikisha mchezo wa Fainali ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika dhidi ya RS Berkane wa tarehe 25 Mei 2025 unafanyika katika Uwanja wa Benjamin Mkapa zimeshindikana. […]

Continue Reading »