Tag: TPLB Yaahirisha mchezo wa Yanga vs Simba

TPLB Yaahirisha mchezo wa Yanga vs Simba

Filed in Michezo by on March 8, 2025 0 Comments
TPLB Yaahirisha mchezo wa Yanga vs Simba

TPLB Yaahirisha mchezo wa Yanga vs Simba Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) katika kikao chake cha leo Machi 8, 2025 ilipitia shauri la klabu ya Simba kuzuiliwa kuingia kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa kwa ajili ya kufanya mazoezi ya mwisho kuelekea mchezo namba 184 wa Ligi […]

Continue Reading »