Timu Zilizofuzu Robo Fainali CRDB Bank Federation Cup 2024/2025

Timu Zilizofuzu Robo Fainali CRDB Bank Federation Cup 2024/2025
Timu Zilizofuzu Robo Fainali CRDB Bank Federation Cup 2024/2025
Klabu ya JKT Tanzania imefanikiwa kufuzu hatua ya Robo Fainali ya CRDB Federation Cup 2024/2025 baada ya Ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Mbeya Kwanza.
JKT Tanzania inaungana na Singida Black Stars kutinga Robo Fainali baada ya ushindi wa bao 1-0 dhidi ya KMC.
Timu nyingine iliyotinga Robo Fainali ya CRDB Federation Cup 2024/2025 ni Mbeya City baada ya Ushindi wa mabal 2-1 dhidi ya Mtibwa Sugar.
Orodha Kamili ya timu Zilizofuzu Robo Fainali ya CRDB Federation Cup 2024/2025.
- JKT Tanzania FC
- Mbeya City
- Singida Black Stars
- Stand United
- Simba SC
- Kagera Sugar
- Yanga SC
- Pamba Jiji FC
Jiunge na Watanzania wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini pamoja na Makampuni Mbalimbali.
Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku ni bure kabisa, JIUNGE HAPA
JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.

Tags: Timu Zilizofuzu Robo Fainali CRDB Bank Federation Cup 2024/2025