Timu zinazoweza Kukutana na Simba Robo Fainali CAF Confederation Cup 2024/2025

Filed in Michezo by on February 6, 2025 0 Comments
     
Timu zinazoweza Kukutana na Simba Robo Fainali CAF Confederation Cup 2024/2025

Timu zinazoweza Kukutana na Simba Robo Fainali CAF Confederation Cup 2024/2025

Timu zinazoweza Kukutana na Simba Robo Fainali CAF Confederation Cup 2024/2025

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Baada ya Kukamilika Kwa Mechi za Makundi Kombe la Shirikisho Afrika (CAF Confederation Cup 2024/2025) sasa kinachosubiriwa ni droo ya hatua ya robo Fainali ambayo itafanyika tarehe 20 February 2025, kuanzia saa 11:00 jioni na itakuwa LIVE kupitia hapa hapa habariweb.com.

Simba itaendelea kupeperusha bendera ya Tanzania Katika hatua ya Robo Fainali baada ya kuongoza kundi A ikiungana na timu za RS Berkane ya Morocco, Zamalek ya Misri pamoja na USM Alger ya Algeria kama vinara wa Makundi A, B, C na D.

Timu zilizofuzu katika nafasi ya pili ni CS Constantine ya Algeria, ASEC Mimosasya Ivory Coast, Stellen Bosch ya Afrika Kusini na Al Masry ya Misri.

Katika droo ya robo Fainali Simba itapangwa dhidi ya timu moja miongoni mwa tatu zilizomaliza nafasi ya pili katika kundi B,C na D ambazo ni Stellenbosch, ASEC Mimosas au Al Masry.

Aidha mechi za Robo Fainali zinatarajiwa kupigwa mwezi March na habari njema kwa Simba SC ni kuwa itaanzia ugenini na kumalizia nyumbani kutokana na kuongoza Kundi lake.

Je, Unatafuta Nafasi za kazi?
Jiunge na Watanzania wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini pamoja na Makampuni Mbalimbali.
Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku ni bure kabisa, JIUNGE HAPA

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.

Tags:

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *