Unaweza Kumchukulia Mtu Kitambulisho Cha NIDA

Filed in Makala by on January 28, 2025 0 Comments
     
Unaweza Kumchukulia Mtu Kitambulisho Cha NIDA

Unaweza Kumchukulia Mtu Kitambulisho Cha NIDA

Unaweza Kumchukulia Mtu Kitambulisho Cha NIDA

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Kufuatia baadhi ya wananchi kutochukua Vitambulisho vyao vilivyokuwa katika ofisi za Kata, Vijiji, Mitaa na Shehia, Vitambulisho hivyo sasa vimekusanywa na kurudishwa katika ofisi za NIDA za Wilaya.

NIDA imetoa taarifa kuwa ukipokea ujumbe mfupi wa simu (SMS) unapaswa kufika ofisi ya NIDA Wilaya uliko jisajili kuchukua Kitambulisho chako.

Aidha NIDA imesema kuwa mtu atakayeshindwa kuchukua Kitambulisho chake ndani ya mwezi mmoja toka kupokea ujumbe mfupi wa simu, matumizi ya Namba yake ya Utambulisho wa Taifa (NIN) yatasitishwa.

Pia NIDA imesema kuwa Mwombaji yeyote atakayepata sms ya kuchukua Kitambulisho chake na angependa kuchukuliwa Kitambulisho chake na mtu mwingine, inaruhusiwa.

Anachotakiwa ni kufika katika ofisi ya NIDA ya Wilaya husika akiwa na sms iliyotumwa kwa mwenye Kitambulisho kwaajili ya uthibitisho.

Unaweza Kumchukulia Mtu Kitambulisho Cha NIDA

Unaweza Kumchukulia Mtu Kitambulisho Cha NIDA

TAZAMA AJIRA ZOTE TANZANIA

Je, Unatafuta Nafasi za kazi?
Jiunge na Watanzania wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini pamoja na Makampuni Mbalimbali.
Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku ni bure kabisa, JIUNGE HAPA

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.

Tags:

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

error: Content is protected !!