UWANJA wa Benjamin Mkapa Wafungwa Kwa Muda

UWANJA wa Benjamin Mkapa Wafungwa Kwa Muda
UWANJA wa Benjamin Mkapa Wafungwa Kwa Muda
Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo imetangaza kuufunga uwanja wa Benjamin Mkapa kwa muda kuanzia tarehe 9 Aprili 2025 ili kupisha marekebisho ya eneo la kuchezea (Pitch) lililopata athari kubwa kufuatia mvua zilizonyesha na kufuatiwa na mchezo wa RoboFainali wa Kombe la Shirikisho Barani Afrika kati ya Simba SC na Al Masry ya Misri.
Timu ya Wataalamu itaanza mara moja kufanya tathmini ya kina ya madhara yaliyojitokeza natarehe ya kufunguliwa kwa uwanja huo itatangazwa hapo baadaye.
Kufuatia uamuzi huu, timu zote ambazo zilipanga kuutumia uwanja wa Benjamin Mkapazikiwemo zinazoshiriki mashindano ya Kimataifa zinaombwa kutafuta uwanja mbadala wakati Serikali ikifanya marekebisho ya eneo la kuchezea kwa dharura.
Wizara inaomba radhi kwa usumbufu utakaojitokeza kutokana na kufungwa kwa uwanja huukwa sasa.

UWANJA wa Benjamin Mkapa Wafungwa Kwa Muda
Jiunge na Watanzania wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini pamoja na Makampuni Mbalimbali.
Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku ni bure kabisa, JIUNGE HAPA
JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.
