VIINGILIO Coastal Union vs Simba SC 01 March 2025

Filed in Michezo by on February 27, 2025 0 Comments
     
VIINGILIO Coastal Union vs Simba SC 01 March 2025

VIINGILIO Coastal Union vs Simba SC 01 March 2025

VIINGILIO Coastal Union vs Simba SC 01 March 2025

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Viingilio vya mchezo unaofuata wa Coastal Union Vs Simba, Klabu ya Coastal Union imetangaza Viingilio vya mchezo wake dhidi ya Simba SC utakachezwa umamosi ya tarehe 1 March 2025 saa 10:00 jioni katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid mjini Arusha.

Viingilio vya mchezo huo ni Tsh 50,000 Kwa VVIP, Tsh 30,000 Kwa VIP A na C, Tsh 20,000 Kwa Viti vya Mringaringa na 10,000 Kwa Mzunguuko.

VIINGILIO Coastal Union vs Simba SC 01 March 2025

VIINGILIO Coastal Union vs Simba SC 01 March 2025

Kuepuka usumbufu nunua tiketi yako mapema na hakikisha hupewi tiketi ambayo umekuta imeshakatwa bali upewe ambayo umeshuhudia ikitoka baada ya kuscan kadi yako.

Pia unaponunua tiketi namba ya risiti unayopewa iendane na namba iliyopo kwenye kadi yako ya N Card.

Unaweza kununua tiketi kwa simu ama katika Ofisi za TTCL zilizopo Posta mjini Arusha na wauzaji waliopo nje ya geti la Uwanja wa Sheikh Amri Abeid.

Je, Unatafuta Nafasi za kazi?
Jiunge na Watanzania wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini pamoja na Makampuni Mbalimbali.
Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku ni bure kabisa, JIUNGE HAPA

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.

Tags:

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *