Viingilio Simba vs Azam FC 24 February 2025

Filed in Michezo by on February 22, 2025 0 Comments
     
Viingilio Simba vs Azam FC 24 February 2025

Viingilio Simba vs Azam FC 24 February 2025

Viingilio Simba vs Azam FC 24 February 2025

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Klabu ya Simba SC imetangaza Viingilio vya mchezo unaofuata wa Ligi Kuu ya NBC 2024/2025 dhidi ya Azam FC.

Mchezo huo utapigwa tarehe 24 February 2025 kuanzia saa 1:00 Usiku kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Jijini Dar Es Salaam.

Baada ya mchezo huo kuhamishwa kutoka Uwanja wa KMC kwenda Uwanja wa Benjamin Mkapa Simba imesema kuwa waliokata tiketi awali, tiketi za Tsh. 30,000 watakaa VIP A na waliokata tiketi za Tsh. 20,000 watakaa VIP B.

Viingilio Kamili ni kama ilivyoanishwa hapa chini;

Viingilio Simba vs Azam FC 24 February 2025

Viingilio Simba vs Azam FC 24 February 2025

Aidha Simba imetoa maelekezo ya namna ya kunua tiketi hizo na vituo ambavyo Ticket zinapatikana.

Je, Unatafuta Nafasi za kazi?
Jiunge na Watanzania wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini pamoja na Makampuni Mbalimbali.
Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku ni bure kabisa, JIUNGE HAPA

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.

Tags:

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *