VIINGILIO Yanga vs Simba 25 June 2025

VIINGILIO Yanga vs Simba 25 June 2025
VIINGILIO Yanga vs Simba 25 June 2025
Viingilio vya mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Kati ya Yanga dhidi ya Simba SC, utakaochezwa siku ya Jumatano tarehe 25.06.2025 saa 11:00 Jioni kwenye dimba la Benjamin Mkapa.

VIINGILIO Yanga vs Simba 25 June 2025

Vituo vya tiketi kuelekea mchezo wa dhidi ya Simba SC utakaochezwa tarehe 25.06.2025, saa 11:00 jioni kwenye Dimba la Benjamin Mkapa.

Jinsi ya kununua tiketi kupitia mitandao ya simu ukiwa na kadi ya NCards.
TAZAMA AJIRA ZOTE TANZANIA
Je, Unatafuta Nafasi za kazi?Jiunge na Watanzania wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini pamoja na Makampuni Mbalimbali.
Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku ni bure kabisa, JIUNGE HAPA
