Viingilio Yanga vs Singida Black Stars 17 February 2025

Filed in Michezo by on February 16, 2025 0 Comments
     
Viingilio Yanga vs Singida Black Stars 17 February 2025

Viingilio Yanga vs Singida Black Stars 17 February 2025

Viingilio Yanga vs Singida Black Stars 17 February 2025

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Viingilio vya mchezo unaofuata wa Yanga SC dhidi ya Singida Black Stars Jumatatu ya February 17, 2025.

Mchezo huo unatarajiwa kupigwa kwenye uwanja wa KMC Complex Kuanzia Saa 10:00 Jioni, ukiwa ni mchezo wa ligi kuu ya NBC 2024/2025.

Viingilio vya mchezo huo vimetajwa kuwa ni 20,000 Kwa VIP na 10,000 kwa Mzunguuko.

Vituo vya kuuzia tiketi hizo ni kama vilivyoorodheshwa hapa chini!

Vituo vya tiketi Yanga vs Singida Black Stars 17 February 2025

Vituo vya tiketi Yanga vs Singida Black Stars 17 February 2025

Je, Unatafuta Nafasi za kazi?
Jiunge na Watanzania wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini pamoja na Makampuni Mbalimbali.
Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku ni bure kabisa, JIUNGE HAPA

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.

Tags:

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *