VITU Vya Kwenda Navyo Kwenye Usaili Jeshi la Polisi 2025

Filed in Usaili by on April 23, 2025 0 Comments
     
VITU Vya Kwenda Navyo Kwenye Usaili Jeshi la Polisi 2025

VITU Vya Kwenda Navyo Kwenye Usaili Jeshi la Polisi 2025

VITU Vya Kwenda Navyo Kwenye Usaili Jeshi la Polisi 2025

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Mkuu wa Jeshi la Polisi ametangaza tarehe 28 April 2025 saa 07:00 asubuhi hadi tarehe 11 May 2025 kuwa tarehe za Usaili kwa vijana walioomba ajira ya Jeshi la Polisi kupitia mfumo wa Ajira (TANZANIA POLICE FORCE -RECRUITMENT PORTAL).

Hivi hapa vitu vya vya lazima kwenda navyo kwenye Usaili Ajira Za Jeshi la Polisi 2025.

  • Kila msailiwa ni lazima kufika eneo la usaili akiwa na vyeti halisi vya taaluma (Academic certificates).
  • Cheti Cha Kuzaliwa.
  • Kitambulisho cha Taifa cha NIDA au
  • Namba ya NIDA pamoja na
  • Nguo na Viatu vya Michezo.

Aidha Msailiwa yeyote atakayefika kwenye usaili baada ya tarehe 28/04/2025 hatapokelewa.

Je, Unatafuta Nafasi za kazi?
Jiunge na Watanzania wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini pamoja na Makampuni Mbalimbali.
Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku ni bure kabisa, JIUNGE HAPA

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.

Tags:

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *