VITU vya Kwenda navyo Waliochaguliwa Kujiunga na JKT kwa Mujibu wa Sheria 2025

Filed in Kuitwa Kazini by on May 27, 2025 1 Comment
     
VITU vya Kwenda navyo Waliochaguliwa Kujiunga na JKT kwa Mujibu wa Sheria 2025

VITU vya Kwenda navyo Waliochaguliwa Kujiunga na JKT kwa Mujibu wa Sheria 2025

VITU vya Kwenda navyo Waliochaguliwa Kujiunga na JKT kwa Mujibu wa Sheria 2025,

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) Meja Jenerali Rajabu Nduku Mabele, anatoa wito kwa Vijana waliohitimu Elimu ya Sekondari Kidato cha Sita kwa mwaka 2025, kutoka Shule zote za Tanzania Bara kuhudhuria Mafunzo ya JKT kwa Mujibu wa Sheria kwa mwaka 2025.

JKT imewataka vijana wote Waliochaguliwa Kujiunga na JKT kwa Mujibu wa Sheria 2025 kuripoti kwenye makambi waliyopamgiwa kuanzia tarehe 28 May 2025 tarehe hadi 08 June 2025 wakiwa na vifaa vifuatavyo.

  • Bukta ya rangi ya ‘Dark Blue’ yenye mpira kiunoni (lastic), iliyo na mfuko mmoja nyuma, urefu unaoishia magotini, isiyo na zipu.
  • T-shirt ya rangi ya kijani.
  • Raba za michezo zenye rangi ya kijani au blue.
  • Shuka mbili za kulalia zenye rangi ya blue bahari.
  • Soksi ndefu za rangi nyeusi.
  • Nguo za kuzuia baridi kwa waliopangiwa mikoa yenye baridi.
  • Track suit ya rangi ya kijani au blue.
  • Nyaraka zote zinazohitajika katika Udahili wa Kujiunga na Elimu ya Juu, zikiwemo cheti vya Kuzaliwa, Vyeti vya Kuhitimu kidato cha Nne n.k
  • Nauli ya kwenda kuripoti makambini na kurudi
    nyumbani.

Majina ya Vijana Walioteuliwa Kujiunga na Mafunzo ya JKT Kundi la lazima (Mujibu wa Sheria) Mwaka 2025.

TAZAMA AJIRA ZOTE TANZANIA

Je, Unatafuta Nafasi za kazi?
Jiunge na Watanzania wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini pamoja na Makampuni Mbalimbali.
Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku ni bure kabisa, JIUNGE HAPA

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, GROUP NO 2 HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.


Tags:

Comments (1)

Trackback URL | Comments RSS Feed

  1. Orodha ya majina kidato cha sita walioitwa jkt 2025

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *