VITUO Vya Usaili Ajira Za Jeshi la Polisi 2025

VITUO Vya Usaili Ajira Za Jeshi la Polisi 2025
VITUO Vya Usaili Ajira Za Jeshi la Polisi 2025
Wasailiwa wote waliochaguliwa kufanya usaili Ajira Za Ajira za Polisi Kuanzia tarehe 28/4/2025 saa 07:00 asubuhi hadi tarehe 11/5/2025 wanapaswa Kuzingatia Vituo/Maeneo ya Usaili.
Hivi hapa chini ni vituo vya Usaili Kutokana na Kategoria zao za Elimu.
Vituo Vya Usaili Kwa wenye Elimu ya Shahada, Stashahada na Astashahada.
- Wenye Elimu ya Shahada, Stashahada na Astashahada Kituo Chao Cha Usaili ni Jijini Dar es Salaam katika uwanja wa gwaride uliopo Kambi ya Polisi (Police Barracks) barabara ya Kilwa nyuma ya kituo cha Polisi Kilwa
Road.
Vituo Vya Usaili Kwa wenye Elimu ya kidato cha Nne na cha Sita.
- Kituo Cha Usaili Kwa wenye Elimu ya kidato cha Nne na cha Sita ni Makamanda wa Polisi wa Mikoa waliyoichagua wakati wa kutuma maombi ya Ajira.
Vituo Vya Usaili Kwa wasailiwa wa Zanzibar wenye Elimu ya Shahada, Stashahada, Astashahada, Kidato Cha Sita na Nne.
- Hawa wote Kituo Chao Cha Usaili no Zanzibar ambapo kwa walioko mikoa ya Unguja, usaili utafanyika Makao Makuu ya Polisi Zanzibar (Ziwani) na Mikoa ya Pemba usaili wao utafanyika Ofisi ya Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kusini Pemba (Chakechake).
KUDOWNLOAD PDF YA MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI JESHI LA POLISI 2025 BOFYA HAPA
Je, Unatafuta Nafasi za kazi?Jiunge na Watanzania wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini pamoja na Makampuni Mbalimbali.
Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku ni bure kabisa, JIUNGE HAPA
JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.

asanteni sana kutupatia taarifa hii
asanteni kwa kutupatia taarifa hii.
No
No comment
Samahani jamani naomba mnisaidie kuniambia sisi tilioomba wilaya ya ilala na elimu kidato cha 6 tunafanyia sehemu gani yani location sipajui msaada tafadhali
Hat Mimi sielew ni wap