VITUO ya Usaili wa Mahojiano na Vitendo TRA 2025

VITUO ya Usaili wa Mahojiano na Vitendo TRA 2025
VITUO ya Usaili wa Mahojiano na Vitendo TRA 2025
Usaili wa vitendo na Mahojiano (Practical and Oral Interviews) TRA unatarajiwa kufanyika kuanzia tarehe 02 hadi tarehe 14 May 2025.
Usaili wa Vitendo utafanyika Kuanzia tarehe 2 hadi tarehe 4 May 2025 na Usaili wa Mahojiano utafanyika Kuanzia tarehe 12 hadi tarehe 14 May 2025.
Hivi hapa Vituo Vya vitakavyotumika Katika Kuendesha Usaili wa Vitendo.
1:Personal Secretary II
- Usaili utafanyika tarehe 2 May, 2025, Saa 01:00 asubuhi eneo ni TANZANIA INSTITUTE OF ACCOUNTANCY (TIA) DAR ES SALAAM.
2:Driver II – S/No. 1 -184
- Usaili utafanyika tarehe 2 May, 2025 Saa 1:00 asubuhi, eneo ni NATIONAL INSTITUTE OF TRANSPORT (NIT) DAR ES SALAAM.
3:Driver II – S/No. 185-369
- Usaili utafanyika tarehe 3 May 2025 saa 1:00 asubuhi, eneo ni NATIONAL INSTITUTE OF TRANSPORT (NIT) DAR ES SALAAM.
4:Driver II – S/No. 370-553
- Usaili utafanyika tarehe 4 May 2025 saa 1:00 asubuhi, eneo ni NATIONAL INSTITUTE OF
TRANSPORT (NIT) DAR ES SALAAM.
Hivi hapa Vituo Vya vitakavyotumika Katika Kuendesha Usaili wa Mahojiano.
1.Tax Management Officer II
2.Economist II
3.Statistician II
4.Assistant Lecturer
5.Librarian II
6.Warden II
7.Academic Officer II
8.Library Assistant II
9.Tutorial Assistant
10.Laboratory Officer II
11.Laboratory Technician II
- Usaili wa hawa wote utafanyika tarehe 12 May2025 Saa 01:00 asubuhi eneo la APC CONFERENCE CENTRE – MBWENI, DAR ES SALAAM.
12.Tax Management Assistant II
13.Customs Officer II
14.Legal Counsel II
15.Procurement and Supplies Officer II
16 Public Relations Officer II
17.Transport Officer II
- Usaili wa hawa wote utafanyika tarehe 13 May 2025 saa 01:00 asubuhi eneo ni APC CONFERENCE CENTRE – MBWENI, DAR ES SALAAM.
18.Customs Assistant II
19.Driver II
20.Data Management Officer II
21.Risk Officer II
22.Estate Officer II
23.Technician II
24.Human Resource Officer II
25.Internal Affairs Officer II
26.Administrative Officer II
27.Office Assistant II
28.Personal Secretary II
29.Receptionist II
30.Records Management Assistant
31.Engineer II
32.Geologist II
33.Security System Operator II
34.Boat Technician II
35.Skipper II
36.Deckhand Auxiliary II
37.Accounts Officer II
38.Internal Auditor II
39.Accountant II
40.Assistant Accounts Officer
- Usaili wa hawa wote utafanyika tarehe 14 May 2025 saa 01:00 asubuhi, eneo ni APC CONFERENCE CENTRE – MBWENI, DAR ES SALAAM.
TAZAMA AJIRA ZOTE TANZANIA
Je, Unatafuta Nafasi za kazi?Jiunge na Watanzania wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini pamoja na Makampuni Mbalimbali.
Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku ni bure kabisa, JIUNGE HAPA
JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.
