VYUO 52 Vilivyokubalika na Serikali Kutoa Mafunzo ya Ufundi Stadi 2025

Filed in Elimu by on April 22, 2025 0 Comments
     
VYUO 52 Vilivyokubalika na Serikali Kutoa Mafunzo ya Ufundi Stadi 2025

VYUO 52 Vilivyokubalika na Serikali Kutoa Mafunzo ya Ufundi Stadi 2025

VYUO 52 Vilivyokubalika na Serikali Kutoa Mafunzo ya Ufundi Stadi 2025

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Orodha ya vyuo 52 vinavyotoa mafunzo ya ufundi stadi ambavyo vimesajiliwa na Mamlaka husika kutoa mafunzo katika fani mbalimbali zikijumuisha ubunifu wa Mitindo na Ushonaji Nguo, Ufundi Bomba, Uashi, Useremala, Uchomeleaji na uungaji vyuma, Upakaji rangi na maandishi ya alama, Upishi,Utengenezaji wa vipuri vya mitambo, Ufundi Magari na Mitambo, umeme wa majumbani na viwandani, Umeme wa Magari, Huduma za Hoteli na Utalii, Ukataji Madini na Ufundi vyuma mwaka 2025.

Hiyo ni baada ya Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana Ajira na Wenye Ulemavu Kutangaza nafasi 8,000 za Mafunzo ya Ufundi Stadi VETA Katika Fani Mbalimbali Leo tarehe 31 January 2025.

Aidha Serikali itafadhili ada ya mafunzo kwa asilimia 100. Mwanafunzi / mzazi / mlezi atagharamia gharama nyingine zikijumuisha nauli ya kwenda chuoni na kurudi nyumbani.

Mafunzo hayo yataanza tarehe 03 Machi, 2025 na yatakua ya kutwa.

Orodha hii imeambatanishwa jina la Mkoa ambao Chuo Kipo, jina la Chuo husika na Fani ambazo zinakubaliwa kufundishwa.

Je, Unatafuta Nafasi za kazi?
Jiunge na Watanzania wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini pamoja na Makampuni Mbalimbali.
Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku ni bure kabisa, JIUNGE HAPA

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.

Tags:

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *