Vyuo vya Ualimu vya Serikali na Binafsi

Vyuo vya Ualimu vya Serikali na Binafsi
Vyuo vya Ualimu vya Serikali na Binafsi
Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia Vyuo vya Ualimu,Vyuo vya ualimu vya Serikali ngazi ya Diploma, Vyuo vya ualimu vya Serikali ngazi ya cheti, Sifa za kujiunga na vyuo vya ualimu ngazi ya cheti, Orodha ya vyuo vya ualimu tanzania courses offered.
Kupitia Makala hii utaweza kupata Orodha ya vyuo vya Ualimu vya Kibinafsi na vya Serikali Tanzania vinavyotoa kozi za cheti, diploma katika elimu.
Pata maelezo kama vile kozi na programu za kitaaluma zinazotolewa, utaratibu wa uandikishaji, maelezo ya mawasiliano na eneo.
Vyuo Binafsi vya Ualimu Tanzania hivi ndivyo vyuo vinavyotoa huduma za ualimu lakini haviendeshwi na Serikali na vyuo binafsi vinamilikiwa na watu binafsi lakini bado vinatambulika kama taasisi za Elimu.
Vinatoa fursa kwa Wanafunzi waliohitimu ambao hukosa nafasi katika shule za serikali.
Hii hapa orodha kamili ya vyuo vya Ualimu vya binafsi na Serikali nchini vinavyotoa kozi za cheti, diploma katika Elimu.
Vyuo vya Ualimu Tanzania
- Kisanga Teachers College
- Songea Teachers College
- Patandi Teachers College
- Dar Es Salaam Mlimani TEACHERS College
- Safina Geita Teachers College
- Kleruu Teachers College
- Kabanga Teachers College
- Butimba Teachers College
- Ilonga Teachers College
- Arafah Teachers College
- Mwanza Teachers College
- Nazareth Teachers College
- King’ori Teachers College
- Mbeya Moravian Teachers College
- Waama Lutheran Teachers College
- International Montessori Teachers College
- Joseph Patron Teachers College
- Popatlal Teachers College
- Northern Highland Teachers College
- Mpanda Teachers College
- Bariadi Teachers College Ltd
- Mpwapwa Teachers College
- Lake Tanganyika Teachers College
- Mtwara (k) Teachers College
- Kisongo Teachers College
- Nyamwezi Teachers College – Tabora
- St Maurus Chemchemi Teachers College
- Alberto Teachers College
- Moshi Teachers College
- Kiuma Teachers College (Details
- Rukwa Teachers College
- Montessori Teachers Training College
- Richrice Teachers College
- Bustani Teachers College
- Miso Teachers College
- Vikindu Teachers College
- Shinyanga Teachers College
- Mamire Teachers College
- Sunrise Teachers College
- Mtumba Teachers’ College
- Kasulu Teachers College
- Tanga Elite Teachers College
- Kinampanda Teachers College
- Capital Teachers College
- Arizona Teachers College
- Kitangali Teachers College
- Mhonda Teachers College
- Safina Teachers College
- Sumbawanga Teachers College
- Kirinjiko Islamic Teachers College
- Kindercare Teachers College
- Ndala Teachers College
- Singida Teachers College
- Kange Teachers College
- Marangu Teachers College
- Rungemba Teachers College
- Tukuyu Teachers College
- Morogoro Teachers College
- Shiwanda Teachers College
- Kilimanjaro Modern Teachers College
- Monica Teachers College
- Francis Nkindo Teachers College
- Mpuguso Teachers College
- Bunda Teachers College
- Kidugala Teachers College
- Mandaka Teachers College
- Nkuruma Mkoka Teachers College
- Tarime Teachers College
- Bishop Durning Teachers College
- Tabora Teachers College
- Songe Teachers College
- Tusaale Teachers College
- Dakawa Teachers College
- Monduli Teachers College
- Nachingwea Teachers College
- Coast Teachers College
- Joshua Teachers Training College
- Bernard Teachers’ College
- Katoke Teachers College – Muleba
- Arusha Teachers College
- West Dar Es Salaam Teachers College
- Dindimo Teachers College
- Tandala Teachers College
- Mtwara (u) Teachers College
- Ngalanga Teachers College
- Mairiva Teachers College
- Murutunguru Teachers College
- Lua Teachers College
- Eckernforde Teachers College
- Mufindi Teachers College
- Mary Teachers College
- Nyamahanga Teachers College
- Lake Teachers College
- Korogwe Teachers College
- Singachini Teachers College
Kuona Vyuo zaidi bonyeza hapa; https://www.nacte.go.tz/
Orodha Ya Vyuo Vikuu Tanzania.
- Chuo Kikuu cha Aga Khan (AKU)
- Chuo Kikuu cha Ardhi (ARU)
- Chuo Kikuu cha Arusha (UoA)
- Chuo Kikuu cha Bukoba
- Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM)
- Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM)
- Chuo Kikuu cha Hubert Kairuki (HKMU)
- Chuo Kikuu cha Iringa (UoI)
- Chuo Kikuu cha Kikatoliki cha Mwenge (MWECAU)
- Chuo Kikuu cha Morogoro (MUM)
- Chuo Kikuu cha Mt. Augustino cha Tanzania (SAUT)
- Chuo Kikuu cha Mt. Yohana cha Tanzania (SJUT)
- Chuo Kikuu cha Muhimbili (MUHAS)
- Chuo Kikuu cha Mzumbe (MU)
- Chuo Kikuu cha Ruaha (RUCO)
- Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya (MUST)
- Chuo Kikuu cha Sokoine (SUA)
- Chuo Kikuu cha Teofilo Kisanji (TEKU)
- Chuo Kikuu cha Tumaini (TU)
- Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi (MUCCoBS)
- Chuo Kikuu cha Zanzibar (ZU)
- Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT)
- Moravian Theological College
Taasisi zilizoondolewa hadhi ya Chuo Kikuu
- Josiah Kibira University College (JOKUCo, Kagera)
- Chuo Kikuu cha Mlima Meru (MMU), Mount Meru University, (Arusha)
- International Medical and Technical University (IMTU, Dar es Salaam)
- University of Bagamoyo (UoB)
- Cambridge Institute of Tourism Management Tanzania
Jiunge na Watanzania wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini pamoja na Makampuni Mbalimbali.
Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku ni bure kabisa, JIUNGE HAPA
JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.
