WAFAHAMU Stellenbosch Wapinzani wa Simba Nusu Fainali CAF Confederation Cup 2024/25

Filed in Michezo by on April 12, 2025 1 Comment
     
WAFAHAMU Stellenbosch Wapinzani wa Simba Nusu Fainali CAF Confederation Cup 2024/25

WAFAHAMU Stellenbosch Wapinzani wa Simba Nusu Fainali CAF Confederation Cup 2024/25

WAFAHAMU Stellenbosch Wapinzani wa Simba Nusu Fainali CAF Confederation Cup 2024/25

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Klabu ya Stellenbosch FC imeanzishwa mwaka 2016 nchini Afrika Kusini, msimu wa 2018/19 walibeba Ubingwa wa Ligi Daraja la Kwanza na rasmi wakapanda Ligi kuu ambapo hadi sasa Wanashiriki Ligi hiyo maarufu (South African Premiership).

Kwenye Msimamo wa South African Premiership wapo kwenye nafasi ya 5 wakiwa na pointi 35, huku wakiwa na michezo ya vipolo mitatu (3) mkononi.

Wachezaji wao ambao Vinara wao wa ufungaji 2024/2025 ni Devon Titus mwenye magoli 6 kwenye Ligi, na magoli 2 kwenye CAF, huku Ashley Cupido akiwa na magoli 5 kwenye Ligi tu.

Mechi 5 za Mwisho Wamefungwa mechi moja tu [1-0 ] March 29 dhidi ya Magesi FC wanaoshika nafasi ya 11 kwenye Ligi hiyo, huku wakishinda mechi 2 na droo mechi  2.

  • Vs Zamalek [ 1-0 ] ushindi [ CAF CC]
  • Vs Zamalek [ 0-0] droo [ CAF CC]
  • Vs Sekhukhune [ 2-1 ] Ushindi [ Ligi]
  • Vs Orlando [ 0-0 ] Droo [ Ligi]

Kabla ya kukutana na Simba ilikuwa wacheze na Amazulu April 19 lakini kwa sababu mechi dhidi ya Simba ni April 20 mechi hii italazimika kusogezwa mbele ili wapate muda wa kusafiri na kujiandaa hivyo watakaa siku 10 bila mechi

Ushindi wao mkubwa ni mabao 5-0 dhidi ya Amazulu ya Ligi kuu Afrika Kusini na mabao 5-0 dhidi ya Nsingizini – CAF Confederation Cup kwenye hatua ya awali.

Kichapo kikubwa walichopokea ni dhidi ya RS Berkane kwenye CAF Confederation Cup Ugenini, hata walivyokuwa nyumbani kwao Afrika Kusini walifungwaa mabao 3-1 RS Berkane.

Hatua ya Makundi 
Kwenye mechi 6 Stellenbosch alishinda mechi 3 na kufungwa mechi 3 zilizomfanya kukusanya pointi 9 na kwenda Robo Fainali yeye na Berkane Kutoka kundi B.

Aidha Stellenbosch hadi kufika Nusu Fainali CAF Confederation Cup 2024/2025 walianzia hatua ya awali kabisa kwa maana ya First Preliminary Round na hii ndio safari yao kwa ujumla

HATUA YA AWALI KABISA
3-0 vs Nsingizini [Ushindi Ugenini]
5-0 vs Nsingizini [Ushindi Nyumbani]

HATUA YA PILI
2-0 vs Vita Club [Ushindi Nyumbani]
1-1 vs Vita Club [ Sare Ugenini]

HATUA YA MAKUNDI
2-0 vs Stade Mallien [Kipigo Ugenini]
3-1 vs Berkane [Kipigo Nyumbani]
1-0 vs Lunda Sul [Ushindi Ugenini]
2-0 vs Lunda Sul [Ushindi Nyumbani]
2-0 vs Stade Mallien [Ushindi Nyumbani)
5-0 vs Berkane [Kipigo Ugenini]

ROBO FAINALI
0-0 vs Zamalek [Droo Nyumbani]
1-0 vs Zamalek [Ushindi Ugenini]

NUSU FAINALI CAF
April 20, 2025 ni Simba vs Stellenbosch
April 27, 2025 ni Stellenbosch vs Simba

Nani Kufuzu Fainali ya CAF Confederation Cup 2024/2025.

Je, Unatafuta Nafasi za kazi?
Jiunge na Watanzania wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini pamoja na Makampuni Mbalimbali.
Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku ni bure kabisa, JIUNGE HAPA

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.

Tags:

About the Author ()

Comments (1)

Trackback URL | Comments RSS Feed

  1. Mr J says:

    Good 👍👍👍👍👍 l appreciated

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *