Walioitwa Kazini Ajira Za INEC Handeni District Council

Filed in Kuitwa Kazini by on February 25, 2025 0 Comments
     
Walioitwa Kazini  Ajira Za INEC Handeni District Council

Walioitwa Kazini Ajira Za INEC Handeni District Council

Walioitwa Kazini Ajira Za INEC Handeni District Council

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Afisa Mwandikishaji Jimbo la Handeni Vijijini kwa kuzingatia Sheria ya Uchaguzi wa Raisi, Wabunge na Madiwani NA. 1 ya Mwaka 2024 pamoja na kanuni ya 12 (1) na (2) ya Kanuni za Uboreshaji wa Daftari la kudumu la wapiga kura za mwaka 2024, anapenda kuwatangazia waombaji wote waliofanya usaili tarehe 13,Februari, 2025 kwa nafasi ya Mwendeshaji wa Kifaa cha Bayometriki (BVR Operator) na nafasi ya Afisa Mwandikishaji Msaidizi kuwa orodha ya waliofaulu usaili huo na kuchaguliwa kuendelea na mafunzo imekamilika rasmi.

Mafunzo kwa Mwendesha Kifaa ya Bayometriki na Mwandishi Msaidizi waliopita kwenye usaili yatafanyika kuanzia tarehe 26 hadi tarehe 27, Februari, 2025 katika ukumbi wa Halmshauri ya Wilaya ya Handeni na Ukumbi Victoria uliopo Kata ya Mkata kuanzia saa 1:30 Asubuhi.

Wote walio katika orodha iliyoambatanishwa na na Tangazo hili wanatakiwa kufika kwa wakati na kuzingatia tarehe na muda uliopangwa.

BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD PDF YA MAJINA

Je, Unatafuta Nafasi za kazi?
Jiunge na Watanzania wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini pamoja na Makampuni Mbalimbali.
Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku ni bure kabisa, JIUNGE HAPA

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.

Tags:

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *