Walioitwa Kazini Ajira za INEC Ifakara Town Council

Filed in Kuitwa Kazini by on February 25, 2025 0 Comments
     
Walioitwa Kazini Ajira za INEC Ifakara Town Council

Walioitwa Kazini Ajira za INEC Ifakara Town Council

Walioitwa Kazini Ajira za INEC Ifakara Town Council

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Afisa Mwandikishaji wa Jimbo la Kilombero kwa Mamlaka aliyopewa chini ya kifungu cha 12 (1) cha Kanuni ya Uboreshaji wa Daftari la kudumu la wapiga kura ya mwaka 2024 anapenda kuwatangazia wote waliobainishwa kwenye orodha kuwa wameitwa kwenye mafunzo ya uandikishaji na uendeshaji wa vifaa vya bayometriki ambapo mafunzo yatafanyika katika makundi mawili kama ifuatavyo;

Siku za Jumatano na Alhamisi ya tarehe 26-27/02/2025 mafunzo yatafanyika katika ukumbi wa TANESCO Kidatu, Halmashauri ya Mji Ifakara, kuanzia saa 2:00 asubuhi.

Washiriki watakaohusika katika mafunzo ni wa kata zifuatazo; Msolwa Station, Sanje, Kidatu, Mkula, Mang’ula, Mang’ula ‘B’ na Mwaya.

Siku za Jumatano na Alhamisi ya tarehe 26-27/02/2025 mafunzo yatafanyika katika ukumbi wa Mlimba, Halmashauri ya Mji Ifakara, kuanzia saa 2:00 asubuhi.

Washiriki watakaopata mafunzo ni wa kata zifuatazo; Kisawasawa, Kiberege, Signal, Kibaoni, Michenga, Mbasa, Viwanjasitini, Ifakara, Mlabani, Katindiuka, Lipangalala na Lumemo.

NB: Kila mshiriki wa mafunzo anatakiwa afike na kitambulisho chenye picha yake au barua ya utambulisho kutoka kwa Mwenyekiti wa Kitongoji/ Kijiji au Mtendaji wa Kijiji.

BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD PDF YA MAJINA

Je, Unatafuta Nafasi za kazi?
Jiunge na Watanzania wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini pamoja na Makampuni Mbalimbali.
Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku ni bure kabisa, JIUNGE HAPA

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.

Tags:

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *