Walioitwa Kazini Ajira Za INEC Kilosa District Council

Filed in Kuitwa Kazini by on February 25, 2025 0 Comments
     
Walioitwa Kazini Ajira Za INEC Kilosa District Council

Walioitwa Kazini Ajira Za INEC Kilosa District Council

Walioitwa Kazini Ajira Za INEC Kilosa District Council

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Wafuatao wamechaguliwa na kuitwa kwenye mafunzo ya watendaji wa Vituo vya uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga kura yatakayofanyika tarehe 26.02.2025 hadi 27.02.2025 kuanzia saa 1.30 asubuhi katika vituo vya mafunzo vifuatavyo:

Kituo cha mafunzo Kilosa: Watakaohusika ni kutoka Kasiki, Magomeni, Mkwatani, Mbumi, Chanzuru, Madoto, Kimamba A, Kimamba B, Parakuyo, Rudewa, Lumbiji, Kidete, Lumuma, Mhenda, Ulaya, Zombo, Masanze, Kilangali, Mabwerebwere na Tindiga. Ukumbi Chuo cha walimu (TTC) llonga.

Kituo cha Mafunzo Dumila: Mvumi, Msowero, Kitete, Dumila, Mbigiri, Magole, Magubike, Maguha, Mabula, Berega, Mamboya na Mtumbatu. Ukumbi ni Shule ya Msingi Fransalian

Kituo cha Mafunzo: Kisanga, Ulelingombe, Malolo, Mikumi, Kidodi, Ruaha, Vidunda na Ruhembe. Veta Mikumi

Orodha ya Majina ya Walioitwa Kazini imeambatanishwa kwenye PDF hapa chini;

BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD PDF YA MAJINA

Je, Unatafuta Nafasi za kazi?
Jiunge na Watanzania wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini pamoja na Makampuni Mbalimbali.
Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku ni bure kabisa, JIUNGE HAPA

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.

Tags:

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *