Walioitwa Kazini Ajira Za INEC Mlimba District Council

Filed in Kuitwa Kazini by on February 25, 2025 0 Comments
     
Walioitwa Kazini Ajira Za INEC Mlimba District Council

Walioitwa Kazini Ajira Za INEC Mlimba District Council

Walioitwa Kazini Ajira Za INEC Mlimba District Council

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Afisa Mwandikishaji Wa Daftari La Kudumu La Wapiga Kura Jimbo La Mlimba Anapenda Kuwatangazia Waombaji Wote Wa Nafasi Ya Mwandikishaji Msaidizi Na Mwendeshaji Wa Vifaa Vya Bayometriki Waliofanya Usaili Tarehe 13/02/2025 Ya Kuwa Matokeo Ya Usaili Huo Yametoka Waliofaulu Wamepangiwa Katika Vituo Husika.

Aidha, Mafunzo Ya Kazi Hii Yatafanyika tarehe 26/02/2025 hadi tarehe 27/02/2025 Katika Ukumbi Wa Mkutano Wa Shule Ya Sekondari Nakaguru.

Majina Hayo Yameambatanishwa Kwenye PDF hapa Chini;

BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD PDF YA MAJINA

Je, Unatafuta Nafasi za kazi?
Jiunge na Watanzania wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini pamoja na Makampuni Mbalimbali.
Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku ni bure kabisa, JIUNGE HAPA

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.

Tags:

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *