Walioitwa Kazini Ajira Za INEC Pangani District Council

Walioitwa Kazini Ajira Za INEC Pangani District Council
Walioitwa Kazini Ajira Za INEC Pangani District Council
Afisa mwandikishaji wa Jimbo la Pangani kwa Mamlaka aliyopewa chini ya Kifungu Na.12 (1) cha Kanuni za Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura za Mwaka 2024 anapenda kuwatangazia Matokeo ya Usaili wa Nafasi za Waandikishaji Wasaidizi na Waendesha Vifaa vya Bayometriki uliofanyika Tarehe 15/02/2025.
Aidha ambao majina yao hayapo katika orodha maana yake hawakufaulu usaili huo.
Orodha ya Majina yafuatayo wamefaulu Usaili na Wanatakiwa kufika kwenye Mafunzo Tarehe 26/02/2025 katika Ukumbi wa YMCA kuanzia Saa 1:00 asubuhi.
BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD PDF YA MAJINA
Je, Unatafuta Nafasi za kazi?Jiunge na Watanzania wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini pamoja na Makampuni Mbalimbali.
Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku ni bure kabisa, JIUNGE HAPA
JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.

Tags: Walioitwa Kazini Ajira Za INEC Pangani District Council