Walioitwa Kazini INEC Kigamboni Municipal Council

Filed in Kuitwa Kazini by on March 1, 2025 0 Comments
     
Walioitwa Kazini INEC Kigamboni Municipal Council

Walioitwa Kazini INEC Kigamboni Municipal Council

Walioitwa Kazini INEC Kigamboni Municipal Council,Tangazo la kuitwa kazini kazi ya uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura.

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Afisa Uandikishaji Jimbo la Kigamboni kwa kuzingatia Kanuni ya 12(1) ya Kanuni za uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga kura za Mwaka 2024, anayo furaha kuwaarifu waombaji kazi kwa nafasi ya Mwandikishaji Msaidizi na Mwendesha Vifaa vya Bayometriki waliofanya usaili tarehe 01/03/2025 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili.

Waombaji kazi waliofaulu usaili wanajulishwa kuwa kutakuwa na Mafunzo Semina kwa wote yatakayofanyika tarehe 14 Machi, 2025 na tarehe 15 Machi, 2025 katika Ukumbi wa Shule ya Sekondari Nguva ulioko Kata ya Somangila kuanzia saa mbili kamili (2:00) asubuhi.

Kwa wale ambao majina yao hayapo katika tangazo hili watambue kuwa hawakupata nafasi/hawakufaulu usaili hivyo wasisite kuomba kwa mara nyingine nafasi zitakapotangazwa.

Orodha ya Majina hayo imeambatanishwa hapa chini kwenye PDF.

BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD PDF YA MAJINA

Je, Unatafuta Nafasi za kazi?
Jiunge na Watanzania wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini pamoja na Makampuni Mbalimbali.
Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku ni bure kabisa, JIUNGE HAPA

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.

Tags:

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *