WALIOITWA Kazini Wizara ya Afya Machi 2025

WALIOITWA Kazini Wizara ya Afya Machi 2025
WALIOITWA Kazini Wizara ya Afya Machi 2025, Kuitwa Kazini Programu ya TMCHIP, Kuitwa Kazini Programu ya Mpango wa Uwekezaji katika Afya ya Mama na Mtoto nchini Tanzania.
Ofisi ya Rais – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI) inapenda kuwataarifu waombaji wote wa kazi za mkataba katika Programu ya Mpango wa Uwekezaji katika Afya ya Mama na Mtoto nchini Tanzania (Tanzania Maternal and Child Health Investment Program (TMCHIP) waliowasilisha maombi ya ajira kwa
nafasi mbalimbali za kada za afya katika kipindi cha mwezi wa Desemba, 2024
kuwa mchakato wa kuwapangia vituo vya kazi umekamilika hivyo waombaji
wote waliochaguliwa wanatakiwa kuripoti katika Halmashauri walizopangiwa.
TANGAZO LA KUITWA KAZINI AJIRA ZA AFYA MACHI 2025
Orodha ya majina ya Waombaji waliopangiwa Vituo vya Kazi Pamoja na Maelekezo vimeambatanishwa kwenye PDF hapa chini.
BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD PDF YA MAJINA
TAZAMA AJIRA ZOTE TANZANIA
Je, Unatafuta Nafasi za kazi?Jiunge na Watanzania wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini pamoja na Makampuni Mbalimbali.
Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku ni bure kabisa, JIUNGE HAPA
JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.

Tags: Kuitwa Kazini Programu ya Mpango wa Uwekezaji katika Afya ya Mama na Mtoto nchini Tanzania., Kuitwa Kazini Programu ya TMCHIP, WALIOITWA Kazini Wizara ya Afya Machi 2025