Walioitwa Kwenye Usaili Ajira za INEC Kigamboni Municipal Council

Filed in Usaili by on February 25, 2025 0 Comments
     
Walioitwa Kwenye Usaili Ajira za INEC Kigamboni Municipal Council

Walioitwa Kwenye Usaili Ajira za INEC Kigamboni Municipal Council

Walioitwa Kwenye Usaili Ajira za INEC Kigamboni Municipal Council

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Kwa kuzingatia Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani NA. 1 ya mwaka 2024 pamoja na Kanuni ya 12 (1) na (2) ya Kanuni za Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura za mwaka 2024, Afisa Mwandikishaji wa Jimbo la Kigamboni anawatangazia waombaji wote na nafasi ya Mwendesha Kifaa cha Bayometriki (BVR Operator) na nafasi ya Mwandishi Msaidizi waliochaguliwa kufika katika usaili utakaofanyika tarehe 01 Machi, 2025 katika Ukumbi wa Halmashauri ya Manispaa ya Kigamboni kuanzia saa 2:00 Asubuhi.

Waombaji wote wanatakiwa kuzingatia yafuatayo:-

  • Muda wa kuanza usaili ni saa 2:00 Asubuhi.
  • Msailiwa atajigharamia gharama zote ikiwemo usafiri, chakula na malazi.
  • Fika ukiwa na kitambulisho chochote au barua ya utambulisho kutoka Ofisi ya Serikali ya Mitaa.
  • Kila msailiwa afike na cheti halisi cha kidato cha nne.

Pamoja na tangazo hili imeambatishwa orodha ya majina ya waombaji waliochaguliwa kwenye PDF hapa chini!

BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD PDF YA MAJINA

Je, Unatafuta Nafasi za kazi?
Jiunge na Watanzania wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini pamoja na Makampuni Mbalimbali.
Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku ni bure kabisa, JIUNGE HAPA

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.

Tags:

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *