Walioitwa Kwenye Usaili Ajira Za INEC Temeke Municipal Council

Filed in Usaili by on February 26, 2025 0 Comments
     
Walioitwa Kwenye Usaili Ajira Za INEC Temeke Municipal Council

Walioitwa Kwenye Usaili Ajira Za INEC Temeke Municipal Council

Walioitwa Kwenye Usaili Ajira Za INEC Temeke Municipal Council

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Orodha ya Walioitwa Kwenye Usaili Nafasi ya Waandishi Wasaidizi na Waendeshaji wa Vifaa vya Bayometriki Kwaajili ya Zoezi la Uboreshaji Daftari la Kudumu la Wapiga Kura Halmashauri ya Manispaa ya Temeke.

Usaili huu Utafanyika Jumamosi ya tarehe 01/03/2025 Jengo la Halmashauri ya Manispaa ya Temeke Kuanzia Saa 2:00 asubuhi.

Msailiwa unatakiwa Kufika na Kitambulisho Chako Chochote.

Majina mengine tutakuwekea sio muda, endelea kufuatilia taarifa zetu.

Je, Unatafuta Nafasi za kazi?
Jiunge na Watanzania wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini pamoja na Makampuni Mbalimbali.
Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku ni bure kabisa, JIUNGE HAPA

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.

Tags:

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *