WALIOITWA Kwenye Usaili Jeshi la Zimamoto na Uokoaji 2025

Filed in Usaili, Michezo by on March 31, 2025 34 Comments
     
WALIOITWA Kwenye Usaili Jeshi la Zimamoto na Uokoaji 2025

WALIOITWA Kwenye Usaili Jeshi la Zimamoto na Uokoaji 2025

WALIOITWA Kwenye Usaili Jeshi la Zimamoto na Uokoaji 2025, Kuitwa Kwenye Usaili Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Machi 31, 2025.

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji anapenda kuwatangazia kuwa vijana waliomba ajira ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji kupitia mfumo wa ajira ZIMAMOTO RECRUITMENT (ajira.zimamoto.go.tz), Usaili utafanyika kuanzia tarehe 05 Aprili, 2025 hadi tarehe 17 Aprili, 2025 kuanzia saa 1:00 Asubuhi kwa kila kundi.

Waombaji waliomba ajira kwa elimu ya kidato cha nne usaili wao utafanyika kuanzia tarehe 05 hadi 09 Aprili, 2025 saa 1:00 Asubuhi kwenye mikoa walioichagua wakati wa kutuma maombi.

Waombaji wenye elimu ya Shahada na taaluma mbalimbali usaili wao utafanyika katika Ukumbi wa Andengenye Makao Makuu ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Dodoma kuanzia tarehe 14 Aprili hadi 17 Aprili, 2025, saa 1:00 Asubuhi kwa kila kundi.

Zingatia yafuatayo:

  • Kila mmoja anatakiwa kufika kwenye usaili siku na tarehe aliyopangiwa na si vinginevyo.
  • Kuwa nadhifu na kuvaa mavazi ya staha.
  • Kufika na vyeti vyote halisi vilivyotumika kwenye maombi ya ajira kama vile cheti cheti cha Kidato cha nne, Kidato cha sita, Cheti cha taaluma, cheti cha kuzaliwa, pamoja na Kitambulisho cha Taifa au Namba ya kitambulisho cha Taifa (NIDA)
  • Kwa walioomba nafasi ya Udereva pamoja na maelekezo hayo wanatakiwa kuja na leseni halisi ya udereva Daraja E.
  • Gharama za usafiri, chakula na malazi ni juu ya msahiliwa mwenyewe kwa muda wote utaotumika kwa ajili ya usaili.
  • Vijana watako fanya usaili Makao Makuu ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji wazingatie tarehe zao za usaili, kijana atayekuja tarehe ambayo hajapangiwa hatapokelewa.

Orodha ya Vijana waliochaguliwa kufanya usaili pamoja na makundi hayo imeambatanishwa kwenye PDF hapa chini;

Je, Unatafuta Nafasi za kazi?
Jiunge na Watanzania wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini pamoja na Makampuni Mbalimbali.
Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku ni bure kabisa, JIUNGE HAPA

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.

Tags:

About the Author ()

Comments (34)

Trackback URL | Comments RSS Feed

  1. Mohd says:

    Hii taarifa ina ukweli au ni uzushi mbona taarifa haifunguki na wapi mmetoa hii taarifa

  2. HALIMA says:

    Naipenda san

    • Ignass Modest says:

      Tafadhari maana wengine shida imel mfano mzur mm mwenyew nirijisahau nikatumia imeli ambayo siyo yangu tafadhari tunaomba kama kunahuwezekano wa Majin tafadhari

      • Admin says:

        Majina yapo kwenye PDF, shuka mpaka mwisho wa Tangazo hili angalia PDF Donwload kama wewe ni Taaluma Mbalimbali au Kidato Cha Nne.

  3. ANIFA KARIMU MFAUME says:

    Orodha ya majina ya usaili wa zima moto

  4. invocavity says:

    zimamoto na uokoaji results

  5. Idrisa says:

    Way of look name

  6. Silas Joseph says:

    ASA mbona hakuna tarehe inaonesha siku ya kufanya interview Kwa wasailiwa wa kidato Cha nne

  7. mbona majina hatuyaoni jamani

  8. Asajile says:

    Sasa tunajuwaje siku ya kwenda kila 1 au tunaenda wote hiyo tarehe 5 had hiyo tarehe 9

  9. Asajile says:

    wote tunaenda kwa pamoja tarehe 5 had ifike tarehe 9 au kila 1 amepangiwa tarehe yake

  10. Jacob says:

    Du watu wagumu kuelewa aloo,kweli bongo nyoso.Mbona maelezo yako clear tu

  11. Zacharia Daud kadelya says:

    Mimi naomba nijue mfano nimeona nimepangiwa kinondoni sasa hapo kinondoni ni sehemu gani harimashuauri au kinondoni sehemu gani maana pameandikwa tu kinondoni na kinondoni ni kubwa sana

  12. Tyrone says:

    Naomb location plzzz wa dar es salaam nimeambiwa temeke but temeke where???

  13. Lazaro says:

    Mbona majina waliofanikiwa usahili hayatoki ama teyali m sjaona

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *