Walioitwa Kwenye Usaili Mkwawa LEAF TOBACCO Limited

Walioitwa Kwenye Usaili Mkwawa LEAF TOBACCO Limited
Walioitwa Kwenye Usaili Mkwawa LEAF TOBACCO Limited
Kampuni ya Mkwawa LEAF TOBACCO Limited inawatangazia Waombaji wa Kazi ya Msimu Katika Mkoa Wa Urambo ambao Majina yao Yameorodheshwa hapa chini kuwa wanatakiwa Kufika siku ya Jumatatu tarehe 03/03/2025 Katika Ofisi ya Mkoa wa Usaili Kitumbaku Urambo Kwaajili ya Usaili Kuanzia Saa nne Kamili Asubuhi.
Kila Mwombaji afike na Kalamu ya Wino, Kitambulisho, Cheti Cha TIN, na Vyeti Halisi Kulingana na Nafasi aliyoomba.
Tafadhali Mjulishe na Mwenzako.
BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD PDF YA MAJINA
Je, Unatafuta Nafasi za kazi?Jiunge na Watanzania wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini pamoja na Makampuni Mbalimbali.
Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku ni bure kabisa, JIUNGE HAPA
JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.
