WALIOITWA Kwenye Usaili wa Mahojiano TRA 2025
WALIOITWA Kwenye Usaili wa Mahojiano TRA 2025WALIOITWA Kwenye Usaili wa Mahojiano TRA 2025, Matokeo ya Usaili wa Mchujo wa Kuandika Ajira Za TRA 2025.
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) inapenda kuwataarifu wasailiwa wote waliofanya usaili wa kuandika tarehe 29 na 30 Machi, 2025 katika vituo tisa (9) vilivyokuwa vimeandaliwa hapa Nchini kwamba matokeo ya usaili huo yamekamilika.
Matokeo hayo yanaonesha namba ya mtihani na matokeo aliyopata msailiwa.
Mamlaka ya Mapato Tanzania inawashukuru wasailiwa wote kwa kuonesha nia ya kuitumikia Mamlaka na kuwatakia kila la kheri wote waliofaulu na kuchaguliwa kwenda katika hatua zinazofuata.
Kuona Matokeo hayo tafadhali Donwload PDF hapa chini.
TAZAMA AJIRA ZOTE TANZANIA
Je, Unatafuta Nafasi za kazi?Jiunge na Watanzania wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini pamoja na Makampuni Mbalimbali.
Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku ni bure kabisa, JIUNGE HAPA
JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.

Tags: MATOKEO ya Usaili wa Mchujo Ajira Za TRA 2025, WALIOITWA Kwenye Usaili wa Mahojiano TRA 2025
Tra
Tra
Marked, always have a good
Sijaridhishwa na matokeo
Naomba mpitie kusahihisha upya, sijaridhishwa na matokeo