Yanga vs Simba ni Machi 8, 2025

Yanga vs Simba ni Machi 8, 2025
Yanga vs Simba ni Machi 8, 2025
Mchezo wa Ligi Kuu ya NBC kati ya Yanga SC dhidi ya Simba SC utachezwa tarehe 8 Machi 2025 Kuanzia Saa 1:30 usiku Kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar Es Salaam.
Katika Msimamo wa Ligi Kuu Young Africans Sport Club inashika nafasi ya 1, huku Simba SC ikishika nafasi ya 2.
Takwimu zinaonesha Yanga kuwa mbabe Katika michezo mitano ya mwisho ikishinda michezo mitatu na sare 1.
Head to head ya mechi 5 zilizopita Young Africans imeshinda Mechi, sare 1 huku Simba ikishinda mechi 1 tu.
Haya hapa ni matokeo yote ya mechi 5 zilizopita Yanga vs Simba.
19 October 2024 NBC Premier League
FT Simba 0 – 1 Young Africans
20 April 2024 NBC Premier League
FT Young Africans 2 – 1 Simba
5 November 2023 NBC Premier League
FT Simba 1 – 5 Young Africans
16 April 2023 NBC Premier League
FT Simba 2 – 0 Young Africans
23 October 2022 NBC Premier League
FT Young Africans 1 – 1 Simba
Jiunge na Watanzania wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini pamoja na Makampuni Mbalimbali.
Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku ni bure kabisa, JIUNGE HAPA
JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA.

Tags: 2025, Yanga vs Simba ni Machi 8