RATIBA ya Mechi za Simba Zilizobaki 2025

RATIBA ya Mechi za Simba Zilizobaki 2025
RATIBA ya Mechi za Simba Zilizobaki 2025
Klabu ya Simba itacheza mechi zote zilizobaki za Ligi Kuu ya NBC June 2025.
Hii hapa ratiba Kamili ya mechi zilizobaki Ligi Kuu ya NBC 2024/2025.
June 18, 2025 – NBC Premier League
16:00 KenGold FC vs Simba SC
June 22, 2025 – NBC Premier League
16:00 Simba SC vs Kagera Sugar FC
June 25 2025 – NBC Premier League
17:00 Yanga SC vs Simba SC

ubaya ubwela wakuu.mwaka huo utopolo premier legue hawana chao