Habari

BEI Mpya Za Mafuta ya Petroli Tanzania August 2025

Filed in Habari by on August 6, 2025 0 Comments
BEI Mpya Za Mafuta ya Petroli Tanzania August 2025

BEI Mpya Za Mafuta ya Petroli Tanzania August 2025 TAARIFA KWA UMMA KUHUSU BEI KIKOMO ZA BIDHAA ZA MAFUTA YA PETROLI KUANZIA JUMATANO, TAREHE 6 AGOSTI 2025 Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) inatangaza bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli hapa nchini zitakazotumika kuanzia Jumatano ya tarehe 6 Agosti […]

Continue Reading »

WABUNGE Waliokatwa Kamati Kuu CCM Kuwania Ubunge 2025

Filed in Habari by on July 29, 2025 0 Comments
WABUNGE Waliokatwa Kamati Kuu CCM Kuwania Ubunge 2025

WABUNGE Waliokatwa Kamati Kuu CCM Kuwania Ubunge 2025 Chama Cha Mapinduzi Julai 29, 2025 kimetangaza Wanachama wake waliopitishwa kuwania Ubunge katika majimbo mbalimbali. Wanachama hao Waliochaguliwa ndio Watakaoshiriki katika Zoezi la Kura Za Maoni ili kupata jina Moja litakopigiwa Kura na Wananchi Katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika October 2025. Haya ni baadhi ya Wagombea ambao walikuwa […]

Continue Reading »

WATIANIA Walioteuliwa Kuingia kwenye Kura Za Maoni Ubunge CCM 2025

Filed in Habari by on July 29, 2025 0 Comments
WATIANIA Walioteuliwa Kuingia kwenye Kura Za Maoni Ubunge CCM 2025

WATIANIA Walioteuliwa Kuingia kwenye Kura Za Maoni Ubunge CCM 2025WATIANIA Walioteuliwa Kuingia kwenye Kura Za Maoni Ubunge CCM 2025 Uteuzi wa awali wa Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Watakaoshiriki katika Zoezi la Kura Za Maoni Kwa Nafasi Za Ubunge na Ujumbe wa Baraza la Wawakilishi 2025. Kamati Kuu ya Halmashauri ya Chama Cha Mapinduzi […]

Continue Reading »

RAIS Samia Afanya Uhamisho na Mabadiliko ya Uteuzi wa Viongozi Mbalimbali 23 June 2025

Filed in Habari by on June 23, 2025 0 Comments
RAIS Samia Afanya Uhamisho na Mabadiliko ya Uteuzi wa Viongozi Mbalimbali 23 June 2025

RAIS Samia Afanya Uhamisho na Mabadiliko ya Uteuzi wa Viongozi Mbalimbali 23 June 2025 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uhamisho na mabadiliko ya uteuzi wa viongozi mbalimbali. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka, viongozi waliohamishwa na walioteuliwa ni kama ifuatavyo:-A: […]

Continue Reading »

SULEIMAN Ikomba Rais Mpya Chama cha Walimu Tanzania

Filed in Habari by on June 10, 2025 0 Comments
SULEIMAN Ikomba Rais Mpya Chama cha Walimu Tanzania

SULEIMAN Ikomba Rais Mpya Chama cha Walimu Tanzania Chama cha Walimu Tanzania (CWT) kimepata rais mpya, Suleiman Ikomba, aliyeibuka mshindi kwa kupata kura 608 dhidi ya kura 260 alizopata aliyekuwa rais wa awamu iliyopita, Leah Ulaya. Kura moja iliharibika, na kufanya jumla ya kura zilizopigwa kufikia 869. Uchaguzi huo umefanyika jana usiku tarehe 9 June […]

Continue Reading »

BEI Mpya Za Mafuta ya Petroli Zanzibar June 2025

Filed in Habari by on June 8, 2025 0 Comments
BEI Mpya Za Mafuta ya Petroli Zanzibar June 2025

BEI Mpya Za Mafuta ya Petroli Zanzibar June 2025 Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati Zanzibar (ZURA) inatangaza Bei za Mafuta kwa Mwezi Juni 2025 zitakazoanza kutumika rasmi kuanzia Siku ya Jumatatu Tarehe 09/06/2025. Mamlaka hupanga bei kwa kuzingatia mambo yafuatayo: Wastani wa mwenendo wa mabadiliko ya bei za Mafuta Duniani (Platts […]

Continue Reading »

BEI Mpya Za Mafuta ya Petroli Juni 2025

Filed in Habari by on June 4, 2025 0 Comments
BEI Mpya Za Mafuta ya Petroli Juni 2025

BEI Mpya Za Mafuta ya Petroli Juni 2025 TAARIFA KWA UMMA KUHUSU BEI KIKOMO ZA BIDHAA ZA MAFUTA YA PETROLI KUANZIA JUMATANO, TAREHE 4 JUNI 2025 Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) inatangaza bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli hapa nchini zitakazotumika kuanzia Jumatano ya tarehe 4 Juni 2025 […]

Continue Reading »

ILANI ya Uchaguzi Mkuu ya CCM 2025

Filed in Habari by on May 31, 2025 0 Comments
ILANI ya Uchaguzi Mkuu ya CCM 2025

ILANI ya Uchaguzi Mkuu ya CCM 2025 Mwaka huu wa 2025 Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimetimiza miaka 48 tangu kuzaliwa kwake baada ya vyama vya TANU na ASP kuungana tarehe 05 Februari 1977. TANU ndicho chama kilichopigania na kuleta Uhuru wa Tanganyika tarehe 09 Desemba 1961, na ASP ndicho chamabkilichopigania ukombozi wa Zanzibar na kuongoza […]

Continue Reading »

Vipaumbele 9 Ilani Mpya ya CCM 2025/2030

Filed in Habari by on May 30, 2025 0 Comments
Vipaumbele 9 Ilani Mpya ya CCM 2025/2030

Vipaumbele 9 Ilani Mpya ya CCM 2025/2030 Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimekamilisha maandalizi ya Ilani yake mpya ya Uchaguzi kwa mwaka 2025, ambayo imewasilishwa rasmi katika Mkutano Mkuu wa chama hicho uliofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete, jijini Dodoma May 30,2025. Ilani hiyo mpya inajumuisha kurasa 78 zenye jumla ya maneno 29,520, na […]

Continue Reading »

MAJINA ya Wagombea Uchaguzi Mkuu CWT 2025/2030

Filed in Habari by on May 22, 2025 0 Comments
MAJINA ya Wagombea Uchaguzi Mkuu CWT 2025/2030

MAJINA ya Wagombea Uchaguzi Mkuu CWT 2025/2030 Ofisi ya Katibu Mkuu wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT) inapenda kuwataarifu walimu na Watanzania wote kwa ujumla kuwa chama kinatarajia kufanya Mkutano Mkuu wa saba utakaofanyika kwa muda wa siku mbili kuanzia 28 na 29 May Jijini Dodoma. Pamoja na mambo mengine Mkutano Mkuu huo utafanya uchaguzi […]

Continue Reading »