Magazeti

Magazeti

MAGAZETI ya Leo Ijumaa 22 August 2025

Filed in Magazeti by on August 22, 2025 0 Comments
MAGAZETI ya Leo Ijumaa 22 August 2025

MAGAZETI ya Leo Ijumaa 22 August 2025 Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Nyasa, Joseph Mbilinyi (Sugu), ametaka Mwenyekiti wa Chama hicho Taifa Tundu Lissu aachiwe bila masharti yoyote kwani yeye sio Muhaini. Akiongea na kwa njia ya mtandao, Sugu amesema kesi hiyo inamaliza pesa bure pamoja na kuendelea kuleta taharuki […]

Continue Reading »

MAGAZETI ya Leo Alhamisi 21 August 2025

Filed in Magazeti by on August 21, 2025 0 Comments
MAGAZETI ya Leo Alhamisi 21 August 2025

MAGAZETI ya Leo Alhamisi 21 August 2025 Mshambuliaji mpya wa Klabu ya Simba, Jonathan Sowah, ataikosa mechi ya Ngao ya Jamii dhidi ya Yanga itakayopigwa Septemba 16, 2025 kwenye Uwanja wa Benjamini Mkapa, Dar es Salaam. Hii ni baada ya kufungiwa kufuatia kadi nyekundu aliyoonyeshwa kwenye mchezo wa fainali ya Kombe la Shirikisho la CRDB […]

Continue Reading »

MAGAZETI ya Leo Jumatano 20 August 2025

Filed in Magazeti by on August 20, 2025 0 Comments
MAGAZETI ya Leo Jumatano 20 August 2025

MAGAZETI ya Leo Jumatano 20 August 2025 Mwili wa mtu mmoja umeopolewa katika mgodi wa Chapakazi na kufikisha idadi ya waliofariki dunia baada ya kufukiwa na kifusi kwenye mgodi huo kufikia watu watano, huku watatu wakitolewa wakiwa hai. Agosti 11, 2025, wafanyakazi na mafundi zaidi ya 22 wa mgodi huo walifukiwa kwenye mashimo baada ya […]

Continue Reading »

MAGAZETI ya Leo Jumanne 19 August 2025

Filed in Magazeti by on August 19, 2025 0 Comments
MAGAZETI ya Leo Jumanne 19 August 2025

MAGAZETI ya Leo Jumanne 19 August 2025 Vijana 12,000 kutoka mikoa ya Geita, Kagera, Tabora na Tanga wanatarajiwa kunufaika na mradi wa kuwawezesha kiuchumi unaotekelezwa katika maeneo yaliyopitiwa na Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP). Mradi huo ni sehemu ya mpango wa uwajibikaji wa kampuni hiyo kwa jamii wakati na baada ya ujenzi […]

Continue Reading »

MAGAZETI ya Leo Jumatatu 18 August 2025

Filed in Magazeti by on August 17, 2025 0 Comments
MAGAZETI ya Leo Jumatatu 18 August 2025

MAGAZETI ya Leo Jumatatu 18 August 2025 Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimetangaza ratiba ya vikao vya kitaifa vitakavyofanyika jijini Dodoma, chini ya Mwenyekiti wa CCM ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan ambapo vikao hivyo vinatarajiwa kuandaa mwelekeo wa chama kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025. Taarifa iliyotolewa […]

Continue Reading »

MAGAZETI ya Leo Jumapili 17 August 2025

Filed in Magazeti by on August 17, 2025 0 Comments
MAGAZETI ya Leo Jumapili 17 August 2025

MAGAZETI ya Leo Jumapili 17 August 2025 Rais mteule wa Shirikisho la Soka Tanzania TFF Wallace Karia amewashukuru wajumbe wa mkutano mkuu wa uchaguzi, kwa imani yao kwake. Akizungumza mara baada ya kukamilika kwa uchaguzi huo uliofanyika jijini Tanga na kushinda kwa kishindo amesema haikuwa rahisi kwa mchakato huo wa uchaguzi. Karia amewataka wajumbe wa […]

Continue Reading »

MAGAZETI ya Leo Jumamosi 16 August 2025

Filed in Magazeti by on August 16, 2025 0 Comments
MAGAZETI ya Leo Jumamosi 16 August 2025

MAGAZETI ya Leo Jumamosi 16 August 2025 Mtangazaji wa kituo cha runinga cha Azam, Patrick Nyembera ameteuliwa kuwa Mwenyekiti mpya wa Kamisheni ya Ngumi za Kulipwa (TPBRC). Uteuzi huo umefanywa na Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Palamagamba Kabudi, jana baada ya uongozi wa awali kumaliza muda wake. Kabudi amemteua Jacob Mbuya kuwa Makamu […]

Continue Reading »

MAGAZETI ya Leo Ijumaa 15 August 2025

Filed in Magazeti by on August 15, 2025 0 Comments
MAGAZETI ya Leo Ijumaa 15 August 2025

MAGAZETI ya Leo Ijumaa 15 August 2025 Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam, imeanza kusikiliza shauri la uchaguzi mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Nchini (TFF), unaotarajiwa kufanyika Jumamosi ya Agosti 16, 2025. ‎ ‎Uchaguzi huo umepangwa kufanyika tarehe hiyo mjini Tanga kwaajili ya kupata rais wa shirikisho hilo, madai inayowaniwa na rais […]

Continue Reading »

MAGAZETI ya Leo Alhamisi 14 August 2025

Filed in Magazeti by on August 14, 2025 0 Comments
MAGAZETI ya Leo Alhamisi 14 August 2025

MAGAZETI ya Leo Alhamisi 14 August 2025 Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu anatarajiwa kusomewa maelezo ya mashahidi Agosti 18, 2025 katika ya uhaini inayomkabili katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu. Hatua hiyo inakuja baada ya mvutano wa kisheria baina ya Lissu anayejitetea mwenyewe dhidi ya Jopo la Jamhuri mbele ya Hakimu Mkazi Mfawidhi, Franko Kiswaga […]

Continue Reading »

MAGAZETI ya Leo Jumatano 13 August 2025

Filed in Magazeti by on August 13, 2025 0 Comments
MAGAZETI ya Leo Jumatano 13 August 2025

MAGAZETI ya Leo Jumatano 13 August 2025 Chama cha Mapinduzi (CCM) kimekusanya zaidi ya Sh86 bilioni katika harambee ya kukichangia kwa lengo la Kampeni za Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025 na ujenzi wa chama hicho. Harambee hiyo imefanyika usiku wa Jumanne, Agosti 12, 2025 katika Ukumbi wa Mlimani City, jijini Dar es Salaam na mgeni […]

Continue Reading »