FOMU Za Kujiunga na Kidato Cha Tano

Filed in Elimu by on June 9, 2025 0 Comments
FOMU Za Kujiunga na Kidato Cha Tano,Form Five Joining Instructions

FOMU Za Kujiunga na Kidato Cha Tano,Form Five Joining Instructions

FOMU Za Kujiunga na Kidato Cha Tano,Form Five Joining Instructions

Fomu za kujiunga kidato cha tano, “Form five Joining Instructions,” ni mwongozo rasmi unaotolewa na Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI).

Mwongozo huu una taarifa muhimu kwa Wanafunzi na Wazazi pamoja na Walezi kuhusu Shule ambayo Mwanafunzi amepangiwa, tarehe ya kuripoti, Nyaraka Muhimu ambazo mwanafunzi anapaswa kwenda nazo, Michango ya Shule, Vifaa vya Bweni, Sare za Shule pamoja na Vifaa vya Kitaaluma.

Mwongozo huu pia utakupa maelekezo mengine muhimu kuhusu masomo, malazi (kama upo shule ya bweni), na taratibu nyingine za shule, ikiwemo taarifa kuhusu afya, usafi, na maadili.

Jinsi ya Kudownload Fomu Za Kujiunga Kidato cha Tano (Form Five Joining Instructions).

Kupata Fomu za Kujiunga Na Kidato Cha Tano Fuata hatua hizi:

  • Nenda kwenye tovuti rasmi ya TAMISEMI: https://selform.tamisemi.go.tz
  • Chagua Form Five Selection
  • Tafuta jina lako na namba yako ya mtihani ili kuona matokeo yako.
  • Mara tu utakapoona jina la shule yako (Shule ya Sekondari) bofya ili Kudownload Fomu ya Kujiunga.
  • Fomu kawaida ambayo ipo Katika mfumo wa PDF itajidownload.
  • Hifadhi Fomu hiyo kwenye kompyuta/Simu yako au Print nakala ili uweze kuzisoma kwa makini na kuzijaza.

Aidha unapaswa kusoma malekezo ya kwenye fomu kwa umakini na kuelewa kila kitu kilichoandikwa kabla ya kuanza kuijaza.

TAZAMA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2025 HAPA.

Hello Casino

Tags:

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *